BAKOI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 1,211
- 2,329
Tokea saa 3.00 ya asubuhi ya leo hadi hivi sasa viongozi wakuu wa CUF wa majimbo ya wilaya ya chake chake yaani wenyeviti na makatibu wa majimbo na baadhi yao.
Wamo na wilaya ya mkoani wamekuwa wakihojiwa na polisi hadi hivi sasa hakuna alieruhusiwa kuondoka hapo polisi madungu, tayari uongozi wa chama wilaya ya chake chake wameshawapelekea futari.
Chama cha wananchi CUF kinafuatilia kwa ukaribu mno hii kadhia inayoendelea na taarifa zote tutawajuilisheni.
Wakati huo huo leo hii mahakama ya mwanzo Chake chake imewanyima dhamana wanachama wetu 13 waliokamatwa kutoka jimbo la Chonga watu 7 na jimbo la Ziwani watu 6 wanachama wetu hawa wamewekwa rumande hadi tarehe 12.7.2016 na hapo hapo.Wanachama wetu wengine kutoka jimbo la ziwani wapatao 13 nao wako mikononi mwa polisi.