Zanzibar 2015-2020

bopwe

JF-Expert Member
Oct 1, 2013
1,768
1,445
Kiongozi wa Zanzibar ameapishwa tayari. Mtawala huyo wa Regime Ya Mapinduzi ya Znz Dr Sheni ameapa leo baada ya kuchaguliwa na watu wachache chini ya usimamizi mkubwa wa majeshi na mapolisi.
Huu ni utawala sawa na zile tawala za Sadam , Assad, Ngeuma, Maboutu , Ghadafi ambapo watawala hao hushinda kwa 90+% kila uchaguzi na chini ya nguvu za kijeshi
wazungu hizi tawala hawaiiti serikali wanaziita regimes na kwa sasa zanzibar inaingia katika mfumo huu wa utawala .
Na kiongozi huwa haitwi Rais bali huitwa Leader au mtawala.
hivyo sasa Shein is a zanziabar regime leader..Anapata nafuu ya kuwekwa katika category ya kina Kim wa Korea na Assad au Ngeuma kwa sababu Znz sio nchi bali ni sehemu ya Muungano na haitambuliki popote hivyo inaonekana kama mkoa tu wa Tanganyika hivyo anapata nafuu ile ya kuitwa mtawala wa kijeshi .
 
Back
Top Bottom