Zanziba haitakuwa salama ikiwa CUF hawatashiriki uchaguzi wa marudio.

hayaland

JF-Expert Member
May 4, 2012
712
399
watanzania mnashuhudia hali ya kisiasa kule zanzibar,mazungumzo ya kutafuta mwafaka yanaendelea lakini tume ya taifa ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) wao wanatangaza tarehe ya uchaguzi kuwa ni tarehe 20/3/2016.hii ni hatari kwa mstakabari wa amani ya visiwa hivyo.Mataifa ya magharibi yameingilia kati kuhusu uchaguzi huo hadi kutishia kuwekewa vikwazo vya kiuchumi.Tanganyika tunaumia kwa tamaa za Zecha Salum Zecha kufuta uchaguzi bila kufata katiba
Kuna namba kubwa ya wanachama wengi wa CUF huko visiwani hata zaidi ya wanachama wa CCM hivyo kutokushiriki katika uchaguzi huo inaweza kuleta hali ya wasiwasi visiwani humo.Busara na hekima vitumike zaidi kuondoa mkwamo huo wa kisiasa Zanzibar.
 
Back
Top Bottom