Zantel modem | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zantel modem

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Davies_007, Mar 30, 2011.

 1. D

  Davies_007 Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Apr 22, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habarini za Kazi wakuu, Jamani mie Natumia Modem ya Zantel yenye Kifurushi cha Z - MONO ambacho Natakiwa kuweka elf Kumi kila Mwezi, Na matumizi yangu makubwa ni Facebook, Hotmail, Badoo na Jamii Forums.

  Sasa kitu cha Ajabu ni kwamba Tangu Nimenunua Naweka Elf Kumi Kila Siku na Inaisha kwa siku Moja tu, Natumia windows 7, Nimedisable ol Automatic Update na Auntvirus Update. sasa Nashindwa kuelewa ni kitu Gani kinafanya Pesa Iwe Inakwisha Haraka kiasi Hiki. Naomba mawazo Yenu Tafadhari
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  nenda airtel ukasaidiwe...
   
 3. D

  Davies_007 Member

  #3
  Mar 30, 2011
  Joined: Apr 22, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natumia Zantel sio Airtel, Nilikwenda Zantel But Hakuna cha Maana wanachoniambia
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  maanake hama huko zantel naunde airtel kuliko kuibiwa daily...
   
 5. D

  Davies_007 Member

  #5
  Mar 30, 2011
  Joined: Apr 22, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tigo wanasema Hawana Limit But Nina wasi wasi na speed ya Modem Yao, Nilikua Naona atleast Zantel Iko Poa sana sasa Da! Tangu Nimenunua Mpaka Leo Nimetumia zaidi ya elf 50
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  pole sana mi naona bora kidogo airtel ingawawanasumbua cku hz ni bora kulko modem zengne gharam afu miyyusho ingawa zngne zko fasta
   
 7. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu,kwanza pole sana!

  Hapa nilipo nina modem 3,zantel nilinunua ya kwanza kabisa,sasatel na vodacom!
  Naona atleast vodacom wako fair kiasi fulani,...

  1.kwa vodacom
  Kwa mimi natumia package ya limitless,ambayo unaweka elf30 then unapewa kwa mda wa mwezi mzima!
  Ukae online 24hours shauri zako bora tu mwezi ukiisha package yako inakuwa imeisha!

  Dis-advantege:speed yake inakuwa ndogo sana!
  Au
  Unaweza nunua package ya elfu10,limitless lakini kwa mda wa week moja,zote hizi disadvantege zao ni kwamba sometimes zinakuwa na speed ndogo ila kwa matumizi kama uliyo sema itakusaidia!

  2.zantel
  Package zao za elf10 wanatoa MB250 ambazo inabidi utumie kwa mwezi,...kilicho sababisha niitose zantel ni kama kilicho kukuta wewe,

  Umenunua package ya elf10,ukapewa MB250 na ukazimaliza,..na zantel ukimaliza package yao hata kama uliweka leo kupewa package ingine ni hadi mwezi uishe,...so kila unapo jaza hela hupewi package ila unatumia hela yako kavu kavu na inapukutika kama majani!

  3.sasatel,
  hata sitaki kuisemea,kwa matumizi yako chukua voda itakusaidia,ingawa uwe makini modem za voda za sasa nyingi hazikubali kufanya kazi kwenye linux (hasa zile za elf49)
   
 8. D

  Davies_007 Member

  #8
  Mar 30, 2011
  Joined: Apr 22, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aisee Hasante Sana, Maana Umenipa Mchakato wa Mzuri sana hawa Zantel akyamungu wanatutesa sana
   
Loading...