Zantel internet

Zantel internet

Epu

Member
Joined
May 2, 2012
Posts
6
Reaction score
1
Hello wadauu. kwa wale wanaotumia moderm ya Zantel, je ni namna gani mnaweza kununua buddle la maybe elf moja la 50mb kirahisi? najua kuna maelezo online au ukiuliza but naona ni lazima uwe na line nyengine ya airtel then ununue kwa namba ya moderm kupitia ile separate line ya zantel. je kuna namna unaweza weka vocha na kununua budle bila hizo procedure kama moderm nyengine ambazo kuna sehemu ya kurecharge na unaona sehemu ya sms ya kujiunga na buddle

asante:help:
 
Back
Top Bottom