Zantel freeee internet access at 0 shs

Dahh',,hii ni noumar',,,,sema hawatuTrace wenyewe kweli?
 
let me try, maana hawa Zantel ni wezi sana ukinunua bundle ya 500mb ambayo unaweza tumia week moja lakini haichukui hata siku 3. Na hapo no any updates running
 
Thanks mkal..
Will try it...
Hope IT experts wa zantel wataichukulia it as a challenge...
Pamoko sana...
 
Jaman jaman hawa zantel wanaingia hku,hk ki2 watakipiga chin mda c mrefu! Thnx 4 sharin bro..will try it.
 
ooh and hyo theme ya mac inaitwaje!
 
Jaman jaman hawa zantel wanaingia hku,hk ki2 watakipiga chin mda c mrefu! Thnx 4 sharin bro..will try it.
Yah ur rite but nimefanya hvyo ili kuelemisha people anyway its better that way ili waboreshe na kurekebisha uzembe wao na pia waweka

restrictions kali zaidi nasi tupate kazi nyingine ya kucome around them think it more like a game hehehehe!
 
Ebwana e2themeza ka vpi delete hii thread manake as mentioned above hao jamaa wanaingia huku so toa this thread 2faidi wachache...la sivyo they gonna roll the curtain while the show hasnt even started yet..
 
Thank you man! self prepared tut,easy to follow,fully explained, WORKS LIKE A CHARM!!
 
contrary to your avatar which portrays your brain like water melon ...... salute mkuu ..... brilliant piece of work
 
contrary to your avatar which portrays your brain like water melon ...... salute mkuu ..... brilliant piece of work
hahahaha! Ok thanks mate
 
<br />
<br />
nimeweza download panther, sasa unaingiaje kwenye mtandao mkuu?
OK mkuu i extract iyo file then ndani ya folder y a panther

kutakuwa na windows visual style file "panther" double click it apply and ok but pia apo apo unaweza change font type colour size na n.k kama

yangu nimefanya some tweaks here and there but thats pretty much how u do it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…