Hehehehe ebwana eeh si mchezo Zantel 3G iko juu sana yani kwenye internet download manager napata kuanzia 200KBps to 500KBps mpaka 600KBps kama unavyona hapaView attachment 33622Tena package kwa bei nafuu kabisa unanunua line ya zantel unajiunga na EPIC NATION na kwa siku unakatwa 500/= na unapata 50mb, 300msgs, 50mms na dakika 15 ya kuongea zantel kwenda zantel... hehehe kweli maisha raha
tupe maelezo unajiungaje na hyo epic nation?ni kwnye cm,modem au?Hehehehe ebwana eeh si mchezo Zantel 3G iko juu sana yani kwenye internet download manager napata kuanzia 200KBps to 500KBps mpaka 600KBps kama unavyona hapaView attachment 33622Tena package kwa bei nafuu kabisa unanunua line ya zantel unajiunga na EPIC NATION na kwa siku unakatwa 500/= na unapata 50mb, 300msgs, 50mms na dakika 15 ya kuongea zantel kwenda zantel... hehehe kweli maisha raha
hahaha uncle bana!mi hata hyo site sihangaikagi nayo! Hyo 3g inashika kwnye cm?
Unajiunga kwenye simu na pia hii huduma ni kwa line za zantel za GSM sio CDMA na vile vile kama uko umejiunga na HIGH LIFE hauwezi jiunga na EPIQ NATION laizma ujitoe kule na ujiunge hapa... kujiunga na EPIQ NATION kwanza lazima uwe una 500/= then dial kwenye simu *149*09# then itatokea menu apo utachagua REGISTERtupe maelezo unajiungaje na hyo epic nation?ni kwnye cm,modem au?
Hehehe yah ni kwl lakini hautwezi tabiri wamejipanga vp sio kwamba hawa wengine waliyumba basi kila moja ata yumba.... vile vile kwa kuangalia mitandao mingine ina offer 20mb kwa 500/=.. sasa zantel 50mb kwa 500/=bado ni cheap sana kwa wale ambao hawawezi unga na bundle kubwa,vile vile kuhusu kufungua blog moja 2 heheheh! i think that was a joke au sio?Siwezi kushangaa hiyo speed maana ndio kwanza wamezindua huduma hii ya 3g hivyo tuwape mda,wapate wateja wa kutosha tuone kama wataendelea na hiyo speed..... 50Mb kwa TSH 500? bado ni nyingi sana mkuu, maana 50mb, inaishia kuload blog ya michuzi.
Mkuu naona umeamua kuwapa PROMO Zantel Hawafai takwambia kwa nini
Kwahiyo mkuu kama wewe ni mfanyakazi wa ZANTEL waambie wenzako mmechemsha sana kwa upuuzi wenu mlioufanya kama nilivyosema hapo juu; and Am one of the customer mlionipoteza na Modem yenu ipo somewhere inajaa vumbi tu..,
- wanaforce utumia voicecalls 5,000/= ili upate highlife 2gb kwa wiki kwa elfu 10,000/= ambayo total inakuwa 15,000/= wakati airtel wanaoffer 15,000/= kwa 3gb
- Zantel package yako ikiisha kabla ya muda wako kuisha huwezi kujaza tena so kama unazo 2gb ukazitumia kwa siku tatu huwezi kuongeza same package mpaka wiki ikishaisha, therefore hapo utaona haina maana hata kama speed ingekuwa 1gb per second kama unaouwezo wa kutumia 5gb kwa wiki package yao is useless..
But credit where credit due.. (package yenu ya kupiga simu nje ya nchi is one of the best thanks for that)
the Tanzanian mobile operator, has launched prepaid internet service based on 3G technology in a package dubbed as ZConnect. Depending on the modem one uses, the service will offer internet at up to 3.1 Mbps. The plan is priced at TZS 6,000 for a daily subscription, TZS 30,000 for a weekly package and TZS 90,000 for monthly usage. The ZConnect service will be available in Dar es Salaam, Zanzibar, Pemba, Tanga, Dodoma, Morogoro, Arusha, Moshi, Mwanza, Tabora, Musoma, Shinyanga, Mbeya, Iringa and Ruvuma.
mnhh mi najiunga bureeeeeeeee
we eka line yako ya zantel na sh 0 then jiunge na hio ofa itakubali halafu usieke vocha tena itakua kila siku bure lahaaaaaaa ('.')hihi