Zandani: Unaambiwa huko Simba kunawaka moto

Zandani: Unaambiwa huko Simba kunawaka moto

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
22,856
Reaction score
32,659
Unaambiwa Mafundi wa kujenga jengo Msimbazi imegeuka kila mtu anaongea LUGHA yake,wakisema lete Zege, analeta maji, leta tofali, analeta ugali

Guess what's real happening at kolo's management
1749926117280.jpg


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Sisi mashabiki wa simba tuna imani na mwenyekiti wetu Mangungu. Kwa hiyo tutaleta timu hiyo tarehe 25, hata kama tutazuiliwa tena na wale mabaunsa kufanya mazoezi siku moja kabla ya hiyo mechi.
 
Il

ILa mwenyekiti ni kama aliwatoroka wenzie na kwenda dodoma bila kuwapa taarifa, watu aliowabeba pia wasingeweza kusogeza ajenda zako kwa boss kubwa, ilitakiwa aende na kina magori, na yule CEO wao
Kwani wao ndo wangeweza Pinga. Mamlaka??

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Tatizo timu inagozwa na waganga kwani tarehe 15 na 25 zina tofauti gani?
Walishahakikishiwa alama 3 na ubingwa.
Siku 2 kabla unawaambia nendeni mkamkabe role model wa Chasambi na Pacome, watakuelewaje?
Na ukizingatia mbeleko unaishia kuchanika, sononeko lazima liwepo.
Siku Moja kabla ya tarehe 8.3.2025 niliwashauri wakimbie mechi kiujanja. Wapange baadhi ya wachezaji wasio na umuhimu sana baada ya gemu kuanza wafanye makosa yatakayo sababisha wale Umeme na kusababisha upungufu wa wachezaji wanaotakiwa kuwepo kiwanjani, ili mchezo ughairishwe wajipange kwa siku nyengine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom