Hii nchi ngumu sanaHivi ZanAjira ni kwa Wazanzibari tu na Ajira Portal ni kwa Watanzania wote?
Zanzibar ni kwa wao tuHivi ZanAjira ni kwa Wazanzibari tu na Ajira Portal ni kwa Watanzania wote?
Kule hata ukipata ajira ni balaa tupu labda uwe muislam kama wewe ni mkristu bora kukomaa bongo tu maana utapigwa majini wewe na familia yako mtasumbuliwa na majini mpaka mkome.Zanzibar Ni Kwa Wao Tu
Ndiyo UkweliKule hata ukipata ajira ni balaa tupu labda uwe muislam kama wewe ni mkristu bora kukomaa bongo tu maana utapigwa majini wewe na familia yako mtasumbuliwa na majini mpaka mkome.
Hirizi za Muungano na Bakwata Sijui Nyerere alizifukia wapi?…labda Katikati ya Baharikama mumechoka nao vunjeni muungano
Kuna watu humu ndani utadhani hawajasoma hata CIVICS ya form 1.kama mumechoka nao vunjeni muungano
Huko bara hakuna majini hamrogi?Kule hata ukipata ajira ni balaa tupu labda uwe muislam kama wewe ni mkristu bora kukomaa bongo tu maana utapigwa majini wewe na familia yako mtasumbuliwa na majini mpaka mkome.

Wazanzibari wengi hawapendi muungano, lakini nawahakikishia muungano hauvunjiki hata walete DP W na kuuza ngorongoro, Loliondo na mlima Kilimanjaro.
Hata rais wa Zanzibar ajaye atateuliwa Dodoma. Iwe CCM au Chadema.
UmepanicWazanzibari wengi hawapendi muungano, lakini nawahakikishia muungano hauvunjiki hata walete DP W na kuuza ngorongoro, Loliondo na mlima Kilimanjaro.
Hata rais wa Zanzibar ajaye atateuliwa Dodoma. Iwe CCM au Chadema.