Zana za kishetani

Nikweli kabisa haya ma-tablet dah , ila kuna vitu vya muhimu tunajifunza vizuri sana kama hizi post zako na vingine vingi
 
Nikweli kabisa haya ma-tablet dah , ila kuna vitu vya muhimu tunajifunza vizuri sana kama hizi post zako na vingine vingi
Ni sawa na kisu jikoni au umeme au moto au hata sumu ya wadudu na hata dawa zinazotuponyesha...
Vitu hivi vina hasi na chanya, ukivitumia kwa usahihi mambo yatakuwa mazuri kinyume chake hivyo vitu ni silaha za maangamizi
 
Mkuu mada zako ni tata sana lakini zenye ujumbe murua sana ndani yake.Ubarikiwe
 
Babu uk o vzr sana katika kuelimisha
 
Mkuu uko sawa kbs.
Weng tu nimewashuhudia wana picha za ngono wamehifadh kwen sim na pc lkn kweny ibada hawakos kwenda. Mwingine unaweza kukuta ana miahad na mtu wake siku ya ibada. Kwahiyo anapotoka tu moja kwa moja kwenda kugegedana
 
Hahahaaaa... mizana ya kishetwani watu wakajua ni mapanga yenye kutu, ya shilingi elf 3 kumbe ni ka smart phone ka laki 3
 
Hahahaaaa... mizana ya kishetwani watu wakajua ni mapanga yenye kutu, ya shilingi elf 3 kumbe ni ka smart phone ka laki 3
Kuna baadhi ya wadau hapa JF ni mahiri mno kukosoa tena kwa matusi na kejeli nyingi mada za mambo ya kishirikina...hawa wanajifanya ni watakatifu hasa lakini hebu waambie wafungue smart phone zao uone kilichopo humo ndani
 
Mkuu uko sawa kbs.
Weng tu nimewashuhudia wana picha za ngono wamehifadh kwen sim na pc lkn kweny ibada hawakos kwenda. Mwingine unaweza kukuta ana miahad na mtu wake siku ya ibada. Kwahiyo anapotoka tu moja kwa moja kwenda kugegedana
Shetani mjanja sana anakuacha uende ibadani lakini kibindoni ndani ya simu yupo katulia tuli akikuelekeza cha kufanya
 
[emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] sina jinsi zaidi ya kucheka, asante kwa kunikumbusha
 
Kuna Nabii mmoja huwa anaombea watu kwa kutumia sign ya Illuminati, kwa kuuelekeza mkono wake kwa mtu....,( na hulitumia Jina la Yesu)

NB; Namaanisha, kidole gumba lazima akipinde hivyo na vidole kuvinyoosha hivyo
Ni kweli nimemuona jana, baba yangu aliniambia nikaamua kulifatilia, yawezekana nabii huyu si wa kweli.
Dunia imechafuka sana. Kila kona kuna uasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…