zamu kwa zamu

Wewe binti, Afrika hatufanyi hivyo! Sio issue ya mtoto kuwa wetu sote, kuna mambo mengi yanatazamwa katika kumlea mtoto, bila kusahau mila (zisiwe kandamizi)
Hii ni karne ya 21 maisha ni kusaidiana na hii inahusisha ulezi pia...Inamaana hujui kama baba akilea mtoto anaongeza ukaribu na mapenzi kwa mwanawe!!!!
 
Vijana wa kileo wanaleta uzungu katika afrika. Mwanamume habebi mtoto ni kukanyagwa na wanawake -wavulana wa siku hizi.
Si lazima ambebe hivo lakini ni jukumu lake vilevile kumlea!!Ndio maana wazazi wengi wa kiume hawana ukaribu wowote na watoto wao sijui tofauti yao na mtu baki ni nini?
 
Si lazima ambebe hivo lakini ni jukumu lake vilevile kumlea!!Ndio maana wazazi wengi wa kiume hawana ukaribu wowote na watoto wao sijui tofauti yao na mtu baki ni nini?

Ukaribu hauletwi na kumbeba mtoto mgongoni au vyovyote utakavyombeba. Mimi sikubeba watoto mgongoni! Najua hutaamini maana hapa ni mastory , watoto wangu wananipenda na niko karibu nao usivyoweza kuamini. Bado ni wadogo last one darasa la saba, sikufanya yanayokwenda kinyume na mila zangu -zisizo kandamizi kwa wanawake lakini nina bond ya ajabu na watoto wangu. Usimbebeshe mmeo watoto-!!!!!!!!
 
Hii ni karne ya 21 maisha ni kusaidiana na hii inahusisha ulezi pia...Inamaana hujui kama baba akilea mtoto anaongeza ukaribu na mapenzi kwa mwanawe!!!!
Najua sana psychology ya ukaribu kwa mtoto, lakini si kwa kunigeuza kuwa mwanamke!!!! Tutafute njia zingine za mimi kuwa karibu na mtoto kujenga bond imara na mtoto bila kuathiri mila na destuli za kwetu(ambazo hazimkandamizi mwanamke). Angalia msg nimekutumia. We kwenu ni wapi anyway! Ningefurahi kujua mila za kabila lako, tungeliongea zaidi along our mila na destuli line
 
Ukimuona ndugu yako kafikia hatua hii..basi ujue si wakwenu tena..na muweke matanga na kuhani msiba..huku mkitakia R.I.P
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…