dogo_mjuaji
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 222
- 48
Msaidie dawa huyu jamaa. Haiwezekani post ya 2015 mchangiaji wa kwanza 2016 September [emoji53][emoji53][emoji53]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dawa imeshapatikana ndio maana post imefufukaMsaidie dawa huyu jamaa. Haiwezekani post ya 2015 mchangiaji wa kwanza 2016 September [emoji53][emoji53][emoji53]
Kwa hiyo mimi ni sehemu ya dawa au [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dawa imeshapatikana ndio maana post imefufuka
[emoji3] [emoji3] [emoji3] imekuvutaKwa hiyo mimi ni sehemu ya dawa au [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nisije nikaota maruweruwe usiku mkuu....[emoji3] [emoji3] [emoji3] imekuvuta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaa ananyota ya ukame...unajua thread ina mwaka na miezi miwiliKupatwa kwa dogo mjuaji! Kauzi kamekondaaaa!
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] huyu jamaa lazima kajitoa jf mwaka na miezi 2 ndio kwanza inaonekana thread yake. Tena mtu wa kwanza kujibu mshana jr. Mkuu Mshana jr au uliipiga dumba hii thread ikapotea leo ndio umeiwachia huru[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaa ananyota ya ukame...unajua thread ina mwaka na miezi miwili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] huyu jamaa lazima kajitoa jf mwaka na miezi 2 ndio kwanza inaonekana thread yake. Tena mtu wa kwanza kujibu mshana jr. Mkuu Mshana jr au uliipiga dumba hii thread ikapotea leo ndio umeiwachia huru[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Ikikutokea nipm[emoji3]Nisije nikaota maruweruwe usiku mkuu....