Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
- Thread starter
- #61
Changamoto sanaHubaki kinywa wazi pale mtu anapoķazana na kupaza sauti kumuita muhudumu wa kiume wewe barmaid nipe bia.
Changamoto sanaHubaki kinywa wazi pale mtu anapoķazana na kupaza sauti kumuita muhudumu wa kiume wewe barmaid nipe bia.
afisa vinywajiWaitwe, Maafisa wa baa. Baa officials.
Mhhh...Upo sahihi. Barmaid ni “mjakazi wa bar” unataka apewe heshima gani zaidi ya apo?? Tatizo ni wenyewe na business za papuchi zao
Na mwanamme anaitwaBar maid...a woman who serves drinks in a bar. Kwani hili jina ambalo linaeleza kazi yao halina staha?
Sawa mkuuUpo sahihi. Barmaid ni “mjakazi wa bar” unataka apewe heshima gani zaidi ya apo?? Tatizo ni wenyewe na business za papuchi zao hata ukiwaita bar-tellers litaonekana bonge la tusi kwao wakati bank-teller is perfects. Nimetembea wilaya nyingi za pembezoni mwa nchi bihashara ya barmaid kujiuza ipo juu mno mno so heshima ya kazi yao kushuka wameitengeneza kwa mikono yao wenyewe
OkayWagawa pombe litapendeza
ufipa genge la wahuni tuCHADEMA wataleta ubishi mpaka humu
Kuna barmaid asiye whore?mdada wa ndani ni maid au officiall Housemaid sema tatizo Stereotypical idea iliyopo kwenye jamii kuwachukulia kua Barmaid wote ni whore ambacho kitu sio sahihi wakiume tunaitwa Bar tender et wakike Barmaid wakati vyote ni vitu sawa jamii ibadili mtazamo
Heeeeee?Na mwanamme anaitwa
Bar Man....a man who works in a bar.
Kazi ya kwenye baa ni kazi halali kama kazi zingine; ni mtazamo tu wa mtu binafsi anaweza kuona kwamba hiyo kazi ni isiyofaa; kama ambavyo mwingine anaweza kuona kwamba baadhi ya kazi hazifai, kama mwangalizi wa chumba cha maiti, mchimba makaburi, mzibua vyoo, n.k.
Hebu jiulize, wangekosekana kabisa watu wa kufanya hizo kazi mambo yangekuwaje?
Badili mtazamo, kubali uhalisia; mtu ambaye haoni ni kipofu, asiyeweza kusikia ni kiziwi, asiyeweza kutembea ni kiwete, n.k; acheni kuremba.