Zamaladi wa Clouds anapaswa Pongezi, au Adhabu?

Kagondo

JF-Expert Member
Jun 6, 2016
296
79
Baada tu ya kuonesha mtu aliyejitambulisha kuwa ni shoga, serikali pamoja na kutoa adhabu ya kuomba msamaha kwa Tv hyo kupitia vpindi vyake vya HABARI kwa watazamaji wake, lakini kipindi hicho kimeibua mengi, hadi ngazi ya taifa sasa inaongelea hili swala.

Kumbe Dada huyu andiye aliyefungua uozo huu?

Alithubutu, nahisi tu alikosea jinsi ya KUWASILISHA.

Serikali imepiga marufuku miradi inayohusisha utoaji wa vilainishi kwa mashoga kama njia ya kukinga kundi hilo na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU).

- Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema suala hilo halikubaliki na ni kukiuka miiko na maadili ya Watanzania.

Zaidi, soma => Serikali yapiga marufuku kusambaza mafuta ya mashoga

Like

Masoud Saleh
Mtume wetu Muhammad(s.a.w) ametuamrisha kwa kusema. " Auwawe mfanyaj na mfanywaj" iyo ndo njia pekee ya kukomesha ushoga. Lkn wakiuliwa utaskia oooo haki za binaadam. Shoga hak yake ndo iyo. Hakuna mbadala wa njia nyengne. Ukiwaeka pamoja ndo yaleyale ukiwafunga ndo balaaa.wauwawe tu. Nayaunga mkono maneno ya kipenz changu Mtume wetu Muhammad(s.a.w).

Sabas Ritti
kuwazuia kutumia mafuta unawafanya waambukizwe ukimwi kiraisi nawao watawaambukiza watejawao ambao niwanaume waliokuwa kwenye ndoa zao ambao watawaambukiza wakezao
hata wanawake wanaoingili kinyume namaumbile niwengi sana utafiti unaonyesha katiyawanawake 4 mmoja anaingiliwa kichume nama umbile tunawaza kujikuta waathilika wakubwa niwatu wakawaida nasio mashoga???
 
wala si zamaradi............. yeye ana bosi wake anayesimamia kazi yake yeye kama yeye angeazaje kumleta kaoge :mad::mad::mad::mad:
 
Mkuu najua, tasnia hyo naielewa kuwa PRODUCER ndo anaefanya issues zote za arrangements, bt HOST wa kipindi angekataa akasema,,,akuu , mi siwez fanya we wadhani ingewezekana?
 
HEEEE AJIERA ZILIVYONGUMU HIVYO ...
 
Baada tu ya kuonesha mtu aliyejitambulisha kuwa ni shoga, serikali pamoja na kutoa adhabu ya kuomba msamaha kwa Tv hyo kupitia vpindi vyake vya HABARI kwa watazamaji wake, lakini kipindi hicho kimeibua mengi, hadi ngazi ya taifa sasa inaongelea hili swala.

Kumbe Dada huyu andiye aliyefungua uozo huu?

Alithubutu, nahisi tu alikosea jinsi ya KUWASILISHA.

Serikali imepiga marufuku miradi inayohusisha utoaji wa vilainishi kwa mashoga kama njia ya kukinga kundi hilo na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU).

- Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema suala hilo halikubaliki na ni kukiuka miiko na maadili ya Watanzania.

Zaidi, soma => Serikali yapiga marufuku kusambaza mafuta ya mashoga

Like

Masoud Saleh
Mtume wetu Muhammad(s.a.w) ametuamrisha kwa kusema. " Auwawe mfanyaj na mfanywaj" iyo ndo njia pekee ya kukomesha ushoga. Lkn wakiuliwa utaskia oooo haki za binaadam. Shoga hak yake ndo iyo. Hakuna mbadala wa njia nyengne. Ukiwaeka pamoja ndo yaleyale ukiwafunga ndo balaaa.wauwawe tu. Nayaunga mkono maneno ya kipenz changu Mtume wetu Muhammad(s.a.w).

Sabas Ritti
kuwazuia kutumia mafuta unawafanya waambukizwe ukimwi kiraisi nawao watawaambukiza watejawao ambao niwanaume waliokuwa kwenye ndoa zao ambao watawaambukiza wakezao
hata wanawake wanaoingili kinyume namaumbile niwengi sana utafiti unaonyesha katiyawanawake 4 mmoja anaingiliwa kichume nama umbile tunawaza kujikuta waathilika wakubwa niwatu wakawaida nasio mashoga???
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom