Zama za Uonevu na ufisadi zimefika mwisho

Zama za Uonevu na ufisadi zimefika mwisho

Prof_Adventure_guide

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2023
Posts
519
Reaction score
1,463
CCM lazima iwajibike ipasavyo! Wale wote waliotumia madaraka vibaya, waliokwapua mali ya umma au kuvunja haki za wananchi, watakabiliwa na sheria. Hakuna aliye juu ya sheria — kila mtu atajibu kwa matendo yake.”

Kesi zitakazochunguzwa ni pamoja na:

Kesi za ufisadi na matumizi mabaya ya fedha za umma

Kesi za uvunjaji wa haki za binadamu

Kesi za uporaji wa ardhi na mali za wananchi

Kesi za rushwa na upendeleo wa kisiasa

Kesi za matumizi mabaya ya mamlaka ya vyombo vya dola
 
Back
Top Bottom