zama za mawe na zama za dhahabu

zama za mawe na zama za dhahabu

kirikuu1

Member
Joined
May 11, 2012
Posts
71
Reaction score
19
[h=5]‎" Kajituliza Kwake Kasuku Ohooo, Hataki Matata, Hataki Matata!
Anachopata Kinamtosha, Aaaa, Hataki Maneno, Hataki Maneno!!
[/h]
gari la kazi

hizi ni zama za mawe, mwenye zama za dhahabu aweke
 
Nasikia hizi makitu 109 huwezi kata kona kwa kiganja; na hadi litembee na unapokuwa njiani hata kama njia imenyooka muda wote unacheza na usukani!
 
hiyo ndo gari ya kazi utadhani power sterling haipo,
 
Zama za dhahabu hizi hapa....
Asubuhi kazini na STK jioni nyumbani au bar na private car license plate.
images
 
Back
Top Bottom