Zama Hizooooo

Nataman sana kumuona kijana wa karne hii katika mavaz hayo
siku hizi ni mwendo wa modo na skin jeans kwa watoto wa kike..........japokuwa kuna wanaume feki wanatupia skin jeans....
 
Chunguza vizuri hiyo sio picha ya zamani labda fashion ndio ya zamani...kwenye hiyo nguzo kuna matangazo ya nguvu za kiume.
 
hi nguo zipu yake sijui wame design vip ani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…