unajua kila kitu kinaenda na wakati enzi hizo babu zetu na bibi zetu ilikuwa hata shakin' hamna hata mambo ya kuchuma cjui mboga,mbuzi kafanyaje cjui,cjui tigo sasa kila cku binadam tunakuwa wavumbuzi na hayo malazi c mpaka ntu awe nayo ndo muweze ambukizana? Au mwafanya mapenzi bila pima nyie?