Mnyalu Junior
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 573
- 200
Kaka nishaliwaga laki sita....kwa story ka hizo.....kimbiaaaaaaa
Kwanza email yako kapataje? Jiulize nakwambia hao ni matapeli shukuru Mungu upo jf na unapata ushauri kuna wengine kama wewe hawana sehemu ya kuomba ushauri na wanakurupuka na kutuma pesa .mijamaa inapiga pesa sio mchezo kwa tamaa. Acha tamaa kijana
Hivi mtu yupo UK dollar 98 zitampeleka wapi jamani? Au ndio mafreeemason wenyewe hawa lol
Haaaaaaaaaa walaah niambie sasa hivi nikamkamate nipo Ukonga nowWala hayupo UK, contacts details zinaonyesha Uk ila yupo hapa hapa Bongo, UKONGA
Hicho ni Kidume kipo hapahapa. hizo picha wala sio zake.Mbona biography inaonesha katoka UK na sura mzungu pure