Kivipi we huoni napiga bingo hapo
We tuma tu mkuu,wanaleta zawadi nyingi hata mimi hao jamaa washawahi kunitumia.
Nilikua najiuliza kwanini ukimwi haupungui ingawa elimu inatolewa kila siku lakin ndio kwanza vinazidi,nimekuja kugundua kumbe kuna watu hata iweje wanapenda kujaribu vitu ambavyo wanajua kabisa vinaweza kuwaletea madhara.
Mweeeeeh pole yako hao ni matapeli wa mtandaoni yaani akununulie vitu vyote hivyo akose hela ya kukutumia daaah akili za kuambiwa changanya na zako