Zainab Kawawa: Wabunge wa CCM don't argue with the fools

nyamate

Member
Aug 3, 2010
25
0
Jana mbunge wa viti maalum kupitia UVCCM Zainab Kawawa alikosa busara baada ya kujibishana kwenye mic na baadhi ya wabunge wa CDM baada ya Spika kuhairisha shughuli za bunge.Kwa kweli ni utovu nidhamu uliokithiiri,kitendo cha kuwaita wabunge wa upinzani na hasa wa CHADEMA kuwa ni FOOLS.Na leo ameonekana kukerwa sana kuitwa NJUKA ila yeye kuita wenzie FOOLS hakuona kama kawakosea sana.Kweli hii ni sahihi waungwana? Tunashukuru leo hatujasikia vijembe baada ya kuhairisha bunge sijui kimetokea ninii
 
vipi hakuambiwa afute kauli yake/aombe msamaha kwa kuwatusi wenzake?au kufuta kauli ni wabunge wa upinzani tu
 
Hicho ki njuka kinadhani wote wameingia bungeni kwa vyeo vya vizee vyao, watu wako determinined, ambitious and al that, viburi vya marehemu ndo vimewajaa. Sasa njuka km yule anaweza jilinganisha na hao anaowaita fools
 
Sijamkosea jina nadhani nadhani aliwai kurushwa na Jamaa mmoja UDSM kwa ushambenga wake akijaribu kuzuia Kikao cha Daruso kisifanyike alikalia meza kuwa analazimisha swali lake lisikilizwe kwa nguvu la sivyo kikao cha uchakuzi haziendelei Jamaa lilimbeba na kumtupa chini hadi kila kitu kikaonekana
 
Anafikiri lile mbunge ni la ukoo wao,ngoja tuchukue nchi hivyo vyeo vya asante baba CCM wasahau.ANGUKO LA CCM LIMETIMIA
 
CCM wako desparate sasa . Akili zina waenda kasi hata hawajui watendalo . Yule mtoto kuwaita wenzake fools yaani hata Mzee Ndesa anaye weza kumzaa huyu binti ? Achillia mayanki wanaweza kula naye .Kwanza nini kinapelekea hadi mtu uanze ku attack personalities katika shughuli ya wengi kama pale Bungeni ?
 
Du hii ya fools nayo kali, bora ile ya kuwaita watu wa kariakoo, nashukuru watu wa jimbo langu hawajachagua fool kuwa mbunge wao.
 
CCM wako desparate sasa . Akili zina waenda kasi hata hawajui watendalo . Yule mtoto kuwaita wenzake fools yaani hata Mzee Ndesa anaye weza kumzaa huyu binti ??

Huyo ndio kabisa, nilikuwa sijawahi kumsikia na nilipomsikia mara ya kwanza aliamrisha watu wakafe Arusha, BIG FFFFFFFFF
 
Kwa akili zipi Zainab Kawawa anaweza kuita wenziwe 'fools'? Kama sio hiyo surname angefika angeingia hapo bungeni? Has she achieved anything meaningful in her life apart from milking from the clan-name? Kama sikosei huyu Zainab ni 'special delivery' ambao wamekuwa wanaongea hovyo ili mradi vidole vyao vinaweza kubonyeza MIC. Na kama kweli chadema ni full imekuwaje ccm wamepoteza mwelekeo kabisa na sasa wanatekeleza ilani ya CHADEMA? i.e. katiba, na sasa posho! Njuka tu hawa.
 
Jana mbunge wa viti maalum kupitia UVCCM Zainab Kawawa alikosa busara baada ya kujibishana kwenye mic na baadhi ya wabunge wa CDM baada ya Spika kuhairisha shughuli za bunge.Kwa kweli ni utovu nidhamu uliokithiiri,kitendo cha kuwaita wabunge wa upinzani na hasa wa CHADEMA kuwa ni FOOLS.Na leo ameonekana kukerwa sana kuitwa NJUKA ila yeye kuita wenzie FOOLS hakuona kama kawakosea sana.Kweli hii ni sahihi waungwana? Tunashukuru leo hatujasikia vijembe baada ya kuhairisha bunge sijui kimetokea ninii

Who is Zainabu Kawawa?
 
Huyu mama kama si heshima ya Mzee Kawawa hana uwezo wa kuwa Balozi wa nyumba kumi
 
Hako ka-ANDUNJE ka-kike hakana busara kabisa! Kwanza ni opportunist mkubwa, nakafahamu tokea tukiwa pale UDSM! Kikao cha DARUSO kilichokuwa kinajadili mustakabali wa wanafunza na kuanzisha mgomo kilikuwa in progress, binti wa MZEE MUHOGO MCHUNGU (Zainabu Kawawa) wakati huo anatafuta umaarufu wa kisiasa akajifanya anataka kuchangia hoja...unfortunately hoja zake ilikuwa ni pumba tupu, kikajifanya kinakaaa juu ya meza kugoma...Jamaa mwenye hasir aliamua kukatupa chini kama han aakili njema.....NDIYO DAWA YAKE! Nadhani ufupi wake pia unamsumbua!!
Nampongeza Mdee, tena huyo ZK ni NJUKA kweli wa Bunge, kana matatizo sana hako katoto...tunafahamu siri zake, kutafuta umaarufu wa kisiasa kwa jina la baba, kwanza kwa watoto wa Kawawa ni wale wa Mama Sofia tu ndiyo wenye heshima....hawa wengine hawa taabu tupu!! Huyu alishindwa hata kuwa na uhusiano na wapangaji wake pale Sinza (ile nyumba sijui aliinunua vipi...maana ndiyo kwanza alikuwa ameajiriwa na Mfuko mmoja wa hifadhi ya jamii) ataweza kuwa na uhusiano na wabunge wa upinzani??
Tunamfahamu yeye na BEST wake DC wa Mpwapwa....njioa zao na kila ishu yao tunijua
HEBU ALAZIMISHWE KUWAOMBA RADHI WABUNGE WA CDM!!
 
Namweshimu mwanamke yoyote anayeshinda ubunge kwa kuchaguliwa!
Akina Makinda,Kilango,etc.

Hawa wa kuteuliwa is a big joke,wengi ni ..........vya wazee vilaza
 
Back
Top Bottom