Zainab Kawawa: Wabunge wa CCM don't argue with the fools

Sijamkosea jina nadhani nadhani aliwai kurushwa na Jamaa mmoja UDSM kwa ushambenga wake akijaribu kuzuia Kikao cha Daruso kisifanyike alikalia meza kuwa analazimisha swali lake lisikilizwe kwa nguvu la sivyo kikao cha uchakuzi haziendelei Jamaa lilimbeba na kumtupa chini hadi kila kitu kikaonekana

Hahaha naikumbuka hii stori, jamaa alikuwa mura yule, chapa Tarime! walimtia msukosuko kwa uzalilishaji ila mwisho wa siku ikaonekana hakuna ushahidi, maana alimshughulikia mbele ya Mama Bali, kundi la kina Penina Mlama waliokuwa wakipokea misaada ya kurekebishia gender issues baada ya Levina Kagize kujiua kwa kujirusha toka ghorofani kwa kisingizio cha kunyanyaswa kijinsia pale UDSM. Nakumbuka vuguvugu la gender issues pale mlimali liliwapatia kiburi sana wasichana. Alikuwa akikushitaki kituo cha polisi basi linavaliwa njuga na utalala tu ndani Lol!, sijui hali ile siku hizi imeishia wapi?
 
Kafupi, kabaya halafu keusi kama kiwi anayopaka lukuvi kichwani, halafu ni ka njuka, halafu ni rafiki yake nepi teh teh lol! Kanafanana na Ri-WASIRA sometime.
 
Kumbe she is MP pia. Mtoto wa kifisadi ukitaka kazi ya aina yeyote Tanzania inua simu na biiiiiiiipu cell ya jk, mara moja unapata kazi. Je wewe mtoto wa Mtanzania middle class ukitaka kazi - you will suffer to death. Tunaona wanavyofanya kazi kwa bidii serikalini.

Tangu lini Watanzania we gave away our rights to kikwete, kawawa, mwinyi, mkapa, malecela na mafisadi? Trust me this will end.

Jana mbunge wa viti maalum kupitia UVCCM Zainab Kawawa alikosa busara baada ya kujibishana kwenye mic na baadhi ya wabunge wa CDM baada ya Spika kuhairisha shughuli za bunge.Kwa kweli ni utovu nidhamu uliokithiiri,kitendo cha kuwaita wabunge wa upinzani na hasa wa CHADEMA kuwa ni FOOLS.Na leo ameonekana kukerwa sana kuitwa NJUKA ila yeye kuita wenzie FOOLS hakuona kama kawakosea sana.Kweli hii ni sahihi waungwana? Tunashukuru leo hatujasikia vijembe baada ya kuhairisha bunge sijui kimetokea ninii
 
Usibishane hadharani na mtu aliyekuzidi akili kwa sababu utaonyesha upumbavu wako hadharani.
 
Hahaha naikumbuka hii stori, jamaa alikuwa mura yule, chapa Tarime! walimtia msukosuko kwa uzalilishaji ila mwisho wa siku ikaonekana hakuna ushahidi, maana alimshughulikia mbele ya Mama Bali, kundi la kina Penina Mlama waliokuwa wakipokea misaada ya kurekebishia gender issues baada ya Levina Kagize kujiua kwa kujirusha toka ghorofani kwa kisingizio cha kunyanyaswa kijinsia pale UDSM. Nakumbuka vuguvugu la gender issues pale mlimali liliwapatia kiburi sana wasichana. Alikuwa akikushitaki kituo cha polisi basi linavaliwa njuga na utalala tu ndani Lol!, sijui hali ile siku hizi imeishia wapi?

Inasemekana alikosa ushahidi na mama Bali pia alimpinga na kutoa ushahidi kuwa yeye ndio aliyekuwa anavuruga kikao huku Polisi wakimuangalia kwa kumuogopa kwasababu ni mtoto wa Mkulu na stend ya Mama bali wanasema aliandika hadi barua kuwa kama Polisi wangetekeleza kazi yao vizuri bila kuangalia ni mtoto wa nani kaanzisha vurugu hayo yote yasingetokea hapo ndio ponapona ya Jamaa maana nadhani alikuwa mtoto wa mkulima angeona cha moto.
 
Kumbe Magdalena Sakaya jina lake halisi ni Magdalena HAMIS Sakaya! Hahaha nilikuwa sijui ni kwanini yupo CUF sasa leo nimeelewa.
 
Kumbe Magdalena Sakaya jina lake halisi ni Magdalena HAMIS Sakaya! Hahaha nilikuwa sijui ni kwanini yupo CUF sasa leo nimeelewa.
kwa hiyo unaleta udini hapo,huyo ni mkristo kwa taarifa yako...turudi kwa zainab kawawa..kalinikera sana jana.
 
Huyu njuka ni msumbufu, asidhani kuingia kwake bungeni kwa fadhila ya baba anaweza kujifananishi na halima, yoko chini sana.
 
Sijamkosea jina nadhani nadhani aliwai kurushwa na Jamaa mmoja UDSM kwa ushambenga wake akijaribu kuzuia Kikao cha Daruso kisifanyike alikalia meza kuwa analazimisha swali lake lisikilizwe kwa nguvu la sivyo kikao cha uchakuzi haziendelei Jamaa lilimbeba na kumtupa chini hadi kila kitu kikaonekana
Jamaa alitakiwa amnyofoe roho ingekuwa poa
 
hakana ishu kabisa. kama kanataka kupambana na CDM basi kajue kataumia kenyewe tu
 
Itakuwa siyo mtoto wa Kawawa, mzee wake alikuwa na hekima, huyu atakuwa mtoto wa mke wake, na ndo maana fool ni yeye mwenyewe.
 
FOOLS is a code name for obsequious....

Fully Obsequious Opposition Leaders...F.O.O.Ls

Nani asiyejua kuwa wabunge wa CHADEMA ni 'Obsequious' bungeni?? na nani asiyejua kuwa Zainab Kawawa ni CCM wa kurithi na CHADEMA moyoni.

"Obsequious means obedient or attentive to an excessive or servile degree."
 
Huyo binti nilimsikiliza siku moja tu kwenye kikao cha kamati ile ya Zitto, hakuni-impress hata kidogo. Anaonekana ana kiburi na dharau sana. Hana adabu! Sidhani kama atamaliza miaka mitano bungeni bila kuzabwa makofi.
 
tupo pamoja zainabu hao wanaokwambia ww mfupi unadhani wao warefu basi wana bahati humu hakuna photo.off course cdm are fools.anayekataa atoe sababu tatu za msingi.
 
Zainabu................ Kafupu AROO..........

7.jpg
DSC_0195.JPG

k2.jpg

Pua yake ina umbo kama ya Papa Wemba ........ ahhh ingekuwa kubwa kidogo, ingelikuwa kama ya Urlus Mabele.

Mdomo si mbaya sana kwa ............... Mtani wangu huyu jamani, Nitamalizia siku nyingine.
 
Kumbe Magdalena Sakaya jina lake halisi ni Magdalena HAMIS Sakaya! Hahaha nilikuwa sijui ni kwanini yupo CUF sasa leo nimeelewa.
Mkuu wewe mbona umetoka nje au unajambo tena hapo!

Jamaa alitakiwa amnyofoe roho ingekuwa poa
Mkuu ulitaka jamaa afungwe au afukuzwe chuo kabisa, nadhani tabia hiyo aliyonayo ndio tabia halisi ya wabunge wa CCM bado wanaota enzi za chama kushika utamu a.k.a. Hatamu

Itakuwa siyo mtoto wa Kawawa, mzee wake alikuwa na hekima, huyu atakuwa mtoto wa mke wake, na ndo maana fool ni yeye mwenyewe.
Mkuu nadhani ni wa Mzee kawawa maana mi naona wamefanana na Mzee kawawa! ila unajuwa tena kutetea chama chako kama huna hoja na juu hakuna kitu lazima umwage pumba tu!

Huyo binti nilimsikiliza siku moja tu kwenye kikao cha kamati ile ya Zitto, hakuni-impress hata kidogo. Anaonekana ana kiburi na dharau sana. Hana adabu! Sidhani kama atamaliza miaka mitano bungeni bila kuzabwa makofi.
Hawa ni wale watoto ambao waliishi maisha wakijua na kujiona kama Tanzania ni yao wenyewe sasa leo wakiambiawa kuwa kila mtu anaweza kugombea Ubunge na kuwa hata chama kingine kinaweza kushika madaraka wanaweweseka maana hawajui wataenda wapi, maana unapoongelea uovu wa CCM huwezi kutenganisha hao viongozi na watoto wao tumesoma na watoto wakubwa hata akipa zero utashangaa mara yupo chuo kikuu au kaenda kusoma America, si unaona wakina February kila alipopita alikuwa ana-fail ingawa alikuwa mtoto wa mwalimu, leo yupo wapi? waliofaulu ndio leo wanaonekana kama ndio walio-fail!

Huyu simshangai. Ashukuru Mdingi wake alikuwa Kigonya wa kutupwa, vinginevyo asingezaliwa. Maana sijui yeye alizaliwa na Mama yupi! Maana mama yake Vita tunamjua
Mkuu lakini mbona mimi naona kazuri au sijui kuchagua! Kana vutia na kanafaa kuwa mke ingawa siku kama anaweza kuingia labor

hahahahaa unanikumbusha siasa za chuo
Politics za chuo nadhani zilikuwa hatari naona hata wakina Mrema wamekuwa wanasiasa kabisa nilishangaa kumuona anagombea Ubunge Vunjo na kuwa yupo CDM akichapa kazi tokea zamani! Huyu alikuwa kifaa cha FoE enzi hizo!
 
Hawa watoto wa Vigogo hatari sana, hawana hoja.

Angalia Nepi anavyorukia hoja na kujiabisha......Vijana wa Tanzania wanamcheki na kumdadisi - Walahi akija kugombea ubunge sidhani kama atapata hata moja. asubirie kudekezwa tu..

Huyu magamba nae hana adabu, amekosa hoja. Huyu hawezi kuomba kura kwa wananchi apewe. yeye afunike tu kombe mwanaharamu apite. Au funika kikombe maana utavimbiwa chai.... Wabonge wa magamba mnakaa kusubiri posho tuuuuu,

Mh Halima Mdee - Vijana wa Tanzania tunakufagilia na kukusifu sana. Mtetezi wa wanyonge Kawe. Viva Dada Halima viva chadema
 
Back
Top Bottom