Zainab Katimba Atimiza Mwaka Mmoja wa Utumishi, TAMISEMI

Zainab Katimba Atimiza Mwaka Mmoja wa Utumishi, TAMISEMI

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
3,119
Reaction score
1,428

Tarehe 04 Aprili, 2025, Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Zainab Katimba ametimiza mwaka mmoja wa UTUMISHI wake tangu alipoteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Naibu Waziri OR-TAMISEMI

 
Mwambie bado safari ni ndefu. Hapo hata confirmation bado
 
Back
Top Bottom