Maxence Melo
JF Founder
- Feb 10, 2006
- 4,230
- 13,415
Mkuu usisite kunitumia nikuongeze kwenye list ya contactsNaweka line yangu ya ZAIN sasa hivi.
wafanyakazi wa ZAIN na VODA na TTCL mobile wenyewe wana line za TIGOhapo sawa maana vinginevyo wangejikuta
wanaotumia zain ni wafanyakazi wao tu!!!!!!!
if u cant fight join them
wafanyakazi wa ZAIN na VODA na TTCL mobile wenyewe wana line za TIGO
wafanyakazi wa ZAIN na VODA na TTCL mobile wenyewe wana line za TIGO
Ngoja nikaifufue ile line yangu ya zain.
Sasa ntakuwa natembea na simu tatu kama fisadi.