ZAiiD-Wowowo Lyrics

ZAiiD-Wowowo Lyrics

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,746
Reaction score
25,638
UBETI WA KWANZA

Figure huonekana hata kwenye baibui
Mchovu akipewa hilo zigo hainui
Chungu cha moto bila ufundi haivui
Wachina wanaleta mbolea haujui
Mi nalipenda likiwa so natural
Au likizungushwa mikongo ya kanga so cultural
Mchizi nakua pizi mithili ya babelon
Nasuuza mwili macho dow hado raw damn bonge la kalio
Mapedeshe wanamwaga bonge la salio
Natetema mwili likitingishika ganda
Siendi mbali kama likikatishaga wowowo

KIITIKIO
Zawadi ya kudumuni kubarikiwa wowowo
Hata ujirembe vipi si tunatazama wowowo
Sura hata mbuzi anayo ila sasa wowowo
Hata ujirembe vipi si tunatazama wowowo



UBETI WA PILI
Toto limeja kama limefichwa siri siri
Usiombe likikatita makhirikhiri
Hutocheki popote chini ya kiwiliwili
Udenda utakutoka utasema u gon get it get it
Linavocheza limejibeba linajiweza linavonesa linapoteza
Linawatesa wanavyokesha kulisomesha kulisebenza linavyotega
Luu kama nyigu chini container
Kila macho yananasa kama antenae
Duka la vitu limejaa vema
Haya mambo ya mamisi wala sina hamu tena
Lina afya kibao likikatisha kwa madingi n italaka kisa wowowo


KIITIKIO
Zawadi ya kudum ni kubarikiwa wowowo
Hata ujirembe vipi si tunatazama wowowo
Sura hata mbuzi anayo ila sasa wowowo
Hata ujirembe vipi si tunatazama wowowo



UBETI WA TATU
Kila nikiona haya mambo ni mawenge kichwani na chombo hewani na
Waza nitakuaje rubani mashindano yakiwa haini silenge dimbani
Napenda likienda haa napenda likirudi haa
Napenda likilala makusudi kifudifudi haa
Likitembea patashika mpaka sifa utasema
Lakatika singida dodoma kila kukicha
Majogoo yanawika yanaita ila kisa singida dodoma
Linatetemesha la zaid ya transformer
Na sijui tutapona singida dodoma
Bonge la goma kulipiga uwe noma
Limewamba kila kona singida dodoma wowowo



KIITIKIO
Zawadi ya kudum ni kubarikiwa wowowo
Hata ujirembe vipi si tunatazama wowowo
Sura hata mbuzi anayo ila sasa wowowo
Hata ujirembe vipi si tunatazama wowowo
Wowowo
Wowowo
Wowowo
Wowowo
 
4802b80f932a78897ede05c13724a64c.jpg
 
Acheni ukuda, rudini ktk sense zenu, Mungu anaangalia moyo nyie mwasema mnaangalia wowowooo kweli binadamu wana mambo kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom