Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,890
- 71,415
Wanabodi, nimeinyaka hii asubuhi ya leo toka kwa mjumbe wa mjengoni lakini yeye sio member wa kamati hii.
Ni kuwa baadhi ya Wajumbe wa Kamati hii ya Maadili hawataki kuwa historia ya kutenda uovu wa kumharass mtu ambaye ni kioo cha kujitizama pale Mali na fedha za umma zinapokwenda halijojo.
Wanataka kudhibitisha kwa umma kuwa wao sio dhaifu bali kiti ndio dhaifu.
Pia Bunge ndio linaazimia nani aitwe na sio kiti akitokea nyumbani au akipigiwa simu na huyo mbabe wake anatangaze mtu anaitwa.
Najua JF ni kubwa kuliko media yeyote nchini hivyo hakosi humu member hata mmoja wa hiyo kamati, atudhibitishie huo mtifuano jee una uhakika? Utazalisha nini,?
Sent using Jamii Forums mobile app