tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,038
Mnachezeaa pesa tuuu acheni ufisadii....acheni kuuza rasilimali za nchi....wakuu wenu wamenunuliwa mnachezea nchi kikundi watu wavhache mnatumia nguvu kuuubwaa mnakimbia kivuli chenu..m..tuachenii mnatuchezea akili ...1bil kila mkuu wa chombo usalama wengine 500mil .....mnatufanya wajinga ?? Jinai haina ukomo akija rais mzalendo tutanyonga vizazi.vyenu......Jeshi la Polisi Tanzania limeimarisha maandalizi ya kuhakikisha amani na usalama kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, likionya dhidi ya uchochezi, uzushi na usambazaji wa taarifa zisizo sahihi kwenye mitandao ya kijamii.
Msemaji wa Jeshi hilo, DCP David Misime, amesema zaidi ya askari 4,000 wamesambazwa Tanzania Bara na Zanzibar kutoa elimu juu ya matumizi sahihi ya mitandao na kulinda amani ya wananchi.
Amesisitiza kuwa wazazi na walezi wanapaswa kuwaelimisha vijana kuheshimu sheria na kuepuka kushiriki vitendo vya uchochezi mtandaoni.
Soma pia: Askari wa jeshi la akiba (Mgambo)watakiwa kulinda amani kuelekea uchaguzi mkuu
View attachment 3486639
Vijana milioni 10 tu wakijitokeza: 10,000,000 gawa kwa 4000 = 2500. Kila askari mmoja vijana 2500! Hata kupumua hataweza. Bado.... kwenye hao askari 4000, robo ttu yao wako na wananchi.Jeshi la Polisi Tanzania limeimarisha maandalizi ya kuhakikisha amani na usalama kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, likionya dhidi ya uchochezi, uzushi na usambazaji wa taarifa zisizo sahihi kwenye mitandao ya kijamii.
Msemaji wa Jeshi hilo, DCP David Misime, amesema zaidi ya askari 4,000 wamesambazwa Tanzania Bara na Zanzibar kutoa elimu juu ya matumizi sahihi ya mitandao na kulinda amani ya wananchi.
Amesisitiza kuwa wazazi na walezi wanapaswa kuwaelimisha vijana kuheshimu sheria na kuepuka kushiriki vitendo vya uchochezi mtandaoni.
Soma pia: Askari wa jeshi la akiba (Mgambo)watakiwa kulinda amani kuelekea uchaguzi mkuu
View attachment 3486639
Panic modeJeshi la Polisi Tanzania limeimarisha maandalizi ya kuhakikisha amani na usalama kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, likionya dhidi ya uchochezi, uzushi na usambazaji wa taarifa zisizo sahihi kwenye mitandao ya kijamii.
Msemaji wa Jeshi hilo, DCP David Misime, amesema zaidi ya askari 4,000 wamesambazwa Tanzania Bara na Zanzibar kutoa elimu juu ya matumizi sahihi ya mitandao na kulinda amani ya wananchi.
Amesisitiza kuwa wazazi na walezi wanapaswa kuwaelimisha vijana kuheshimu sheria na kuepuka kushiriki vitendo vya uchochezi mtandaoni.
Soma pia: Askari wa jeshi la akiba (Mgambo)watakiwa kulinda amani kuelekea uchaguzi mkuu
View attachment 3486639
Ila kusambaza gesi majumbani issue? Au kutuletea libraries kila kata ni gharama? Labda hata miundo mbinu mitaani, vijijini nk nk ni shida? Yawezekana hata usafiri wa wanafunzi shule za kata haiwezekani sababu hamna hela ila chukuwachakomapema wanazo?Jeshi la Polisi Tanzania limeimarisha maandalizi ya kuhakikisha amani na usalama kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, likionya dhidi ya uchochezi, uzushi na usambazaji wa taarifa zisizo sahihi kwenye mitandao ya kijamii.
Msemaji wa Jeshi hilo, DCP David Misime, amesema zaidi ya askari 4,000 wamesambazwa Tanzania Bara na Zanzibar kutoa elimu juu ya matumizi sahihi ya mitandao na kulinda amani ya wananchi.
Amesisitiza kuwa wazazi na walezi wanapaswa kuwaelimisha vijana kuheshimu sheria na kuepuka kushiriki vitendo vya uchochezi mtandaoni.
Soma pia: Askari wa jeshi la akiba (Mgambo)watakiwa kulinda amani kuelekea uchaguzi mkuu
View attachment 3486639
Hivi nchi hii ina askari milioni ngapi vile?Jeshi la Polisi Tanzania limeimarisha maandalizi ya kuhakikisha amani na usalama kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, likionya dhidi ya uchochezi, uzushi na usambazaji wa taarifa zisizo sahihi kwenye mitandao ya kijamii.
Msemaji wa Jeshi hilo, DCP David Misime, amesema zaidi ya askari 4,000 wamesambazwa Tanzania Bara na Zanzibar kutoa elimu juu ya matumizi sahihi ya mitandao na kulinda amani ya wananchi.
Amesisitiza kuwa wazazi na walezi wanapaswa kuwaelimisha vijana kuheshimu sheria na kuepuka kushiriki vitendo vya uchochezi mtandaoni.
Soma pia: Askari wa jeshi la akiba (Mgambo)watakiwa kulinda amani kuelekea uchaguzi mkuu
View attachment 3486639
Some international organizations suggest ratios like 1 officer per 400-500 citizens, or about 225 officers per 100,000 people, but experts caution that such numbers are not universally applicable and are poor substitutes for strategic staffing decisions. For example, cities with high transient populations or higher crime rates will require more officers than smaller, more stable communities.Kata ya kiwalani peke yake ina wakaazi elfu 12.
Askari 4000 🤣🤣🤣🤣 alafu humu ndani wanasema hawa watu wanaweza kutuzuiaJeshi la Polisi Tanzania limeimarisha maandalizi ya kuhakikisha amani na usalama kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, likionya dhidi ya uchochezi, uzushi na usambazaji wa taarifa zisizo sahihi kwenye mitandao ya kijamii.