Zahanati ya Kijiji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zahanati ya Kijiji

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bushbaby, Jun 9, 2011.

 1. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  MIAKA 50 YA UHURU: Watoto na wazazi wa Kijiji cha Oliipil, Loliondo mkoani Arusha wakisubiri wauguzi na madaktari kutoka Hospitali ya Wasso kwa ajili ya kliniki. Jengo linaloonekana ndiyo zahanati na kliniki ya kijiji hicho. Picha kwa hisani ya Mjengwa Blog..


  Hivi tutafika...... wabunge wetu ndi hao wanataka Mil 12 kwa mwezi... serikali inatembelea Landcruiser V8,VX na baadi ya mawaziri wake kulala mahotelini..... Mpaka lini...
   
 2. C

  Connie New Member

  #2
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  viongozi wengi ni self centred, they care fur nothing but themselves. it will take more than what we have nw to bring changes and fair opportunities to all Tanzanians..
   
 3. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  so sad,.......
   
Loading...