Hawajaweka wazi na Zacharia Obadi, Katibu wa CHADEMA kanda ya Victoria anasema ni msimamo wa wananchi na siyo chama.
"Wimbo umekuwa ni huo tu No reforms No election na wengine wameenda mbali zaidi nakusema kwamba tarehe 29, october tunaandamana CHADEMA hatujajitokeza wazi wazi nakusema huo msimamo lakini wananchi wameshaasema tayari" Zacharia Obadi Katibu wa CHADEMA kanda ya Victoria