Kwa mara ya kwanza Zacharia Obadi, Katibu wa CHADEMA kanda ya Victoria – anaweka wazi kuwa wao kama chama hakuna walichopoteza kwa kutoshiriki uchaguzi zaidi sana wamerudisha Imani kwa Watanzania.
Kwa sasa hakuna chama kinachoheshimika kama CHADEMA. CHADEMA inatambulika ndani na nje ya nchi kama chama pekee cha siasa Tanzania kinachopigania haki na demokrasia. CCM ndiyo chama pekee kinachotambulika kama chama dhulumati kilicho chini ya wahuni wadhulumu haki za wananchi.
Long Strategic plan ya kuendelea kuiweka CCM madarakani..Kataa siasa, Siasa kwasasa ni utapeli wa kifikra na mtapeliwa ni Mwananchi huku akiaminishwa Mageuzi ya kiutawala kumbe ni mchezo wa Mazingaombe unaochezwa na Vyama vyote nchini..!!?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.