Alimaanisha tumia herufi ndogo, ukitumia herufi kubwa kubwa ni kama unakuwa una-shout!Sasa ww umekopy badal ya kutoa jibu

Hapo mkuu nime-copy tu? Kweli kuna makosa watu wanafanya na hawajui kama ni makosa...na mbaya zaidi ukimrebisha hatajua unachomaanisha na atakushambulia vibaya mno.Sasa ww umekopy badal ya kutoa jibu
Kwa ujumla nimejaribu kurekebisha uandishi. Ili ikupe faida wewe(mtoa uzi) na sisi(wasomaji/wachangiaji)Sasa ww umekopy badal ya kutoa jibu
Sasa nimekuelewa ww ni MSWAHILI akati mimi ni mwandishi wa kiswahiliNahitaji kujiingiza kwenye biashara ya Taxi,Bodaboda na Bajaj. Mwenye uzoefu na hizi biashara anipe uzoefu kidogo . Na hesabu ni bei gani kwa Bodaboda, Taxi na Bajaj hata Kirikuu.
Nsamehe kwa kuchangia uzi wako!Sasa nimekuelewa ww ni MSWAHILI akati mimi ni mwandishi wa kiswahili