Za kunyapia nyapia: Mchanga wa madini uliozuliwa mwaka jana pale bandarini waondolewa kimya kimya

Usinikumbushe machungu ya Noah asiee.. yaani niliaibika maana tulipinga na jamaa
 
serikali ilifanya vizuri kuzuia na haijakurupuka hawa wenye makampuni ya madini kwa muda mrefu wameuza mali ghafi kwa sababu wateja wao walikua wanataka hivyo kwa bei ile ile sawa na kama wangechenjua ndipo wauze so hawakuona sababu ya kuingia gharama kuchenjua wakati mteja anataka dhahabu ghafi. Matokeo yake waliokuwa wanafaidika ni wanunuzi na serikali inakosa kodi. Hizi sababu za smelta kutokwepo ni kujitetea tuu. Hivyo serikali ikubali ilikosea awali kutokana na kutowabana ipasavyo hawa wawekezaji, na sasa ijipange na ianze upya haya makesi kesi kwa makosa na uzembe wetu sisi wenyewe tuachane nayo kwa sasa . Wafanyabiashara daima huangalia namna ya kukuza faida na walipata fursa wakaitumia kutunyonya sasa kama tunasema baasi na iwe kwelibaasi.
 
Mchanga bado upo. Unalindwa na polisi na Usalama.

N.B Napiga mishe maeneo hayo
 
vilaza wa Lumumba wanaoshangilia kila 'upupu' sijui sasa watasemaje! aibu kwao! aibu kwa ccm daima.
 
Habari zakunyapia zinasema Makumi ya madiwani wamekimbilia pasipojulikana huko wilayani Hai jimboni kwa mla Ruzuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…