NIKUPE LINK YA VIDEO RAIS WAKO AKISEMA YEYE NI KICHAA?
Usinikumbushe machungu ya Noah asiee.. yaani niliaibika maana tulipinga na jamaaKwani aliyesema ni poropeserio rabishi alidunguliwa kwa manufaa gani?waliona huyu ndo anawafunua waliolala akili so tumnyamazishe huyu na wengine wataufyata..nani mwingine umemsikia akiita oress kuulizia makinikia?je unawasikia tena wanalumumba wakishangilia uzalendo wa kichaa kwenye madongo?je unasikia story zozote zinazohusu udongo?sasa hivi habari ya mjini ni makontena boing na sgr.ila ukisikia ukuta wa mererani basi ujue kuna jipya au ukisikia accacia basi ni kesi imefikia pabaya kwetu..parakabanda kabundi alisema tuna pesa ila hatusemi tusije kudaiwa yaani wanaficha as if watasamehewa madeni yale na bora basi deni lingekua la nchi kwa nchi kidogo ibgekua na afadhali..niwakumbushe mkalioe deni linalodaiwa kwanza tanesco mkijiandaa kuwalipa na wanaume wale wa accacia
MBALI WAPI...IKULU? HII ILIYOKO POSTA?Kumbe nabishana na zoba# Mwisho wa kufikilia unaishia machoni# Tanua uwezo wako ufikilie mbali
Hahahaha Jamii Forum at workNasikia rais kadai kuwa yeye ni kichaa