Yvonne Chaka Chaka: Ninatamani sana kukutana na Rais Magufuli

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,171
23,991
Mwimbaji mashuhuri duniani na hasa katika bara la Afrika, Yvonne Chaka Chaka amesema anatamani sana katika maisha yake kukutana na Rais Magufuli.

Mwimbaji huo amesema Rais Magufuli anaugusa moyo wake kutokana na utendaji kazi wake na ameshauri marais wengine wajifunze kutoka kwake kutokana na utendaji kazi wake.

Amemalizia kwa kumpongeza Mama Salma Kikwete kwa kazi nzuri anazozifanya katika kusaidia watoto hasa wasichana katika kupata elimu.

VIDEO:
 
Huku sisi huyu mtu hatuna hamu naye kabisa, kama vp njoo uondoke naye nchi ijae neema maana toka ameingia kwenye jumba jeupe hali ni mbaya sana kwa wanyonge wa taifa hili
 
Back
Top Bottom