Yuwapi Mansoor Yusuf Himid?

KIGWANYA

Member
Apr 14, 2016
81
103
habari wanabodi
Huyu bwana tangu kutemwa CCM na baadae kujiunga na CUF amekua akionekana kwa nadra sana. Alionekana sanasana wakati wa kampeni kabla ya uchaguzi 2015 lakini baada ya hapo hayupo active. Au CUF wanambania? naona sana walio active kwenye CUF ni akina Jussa, Mazrui na wengine ila yeye yupo kimwa au ndo ngombe asiye mkia?
Tujadili.
 
Si kweli kama tangu kutemwa CCM na baadae kujiunga na CUF amekua akionekana kwa nadra sana. Aligombania uchaguzi wa Oktoba 2015 na kumgaragaza vibaya sana Mahmoud Thabit Kombo wa CCM na baadae Jechha kulazimishwa kufuta uchaguzi. Uliporejewa mpinzani wake amechaguliwa Waziri wa Afya.Sasa wewe ulitakaje?
 
Active, unamaanisha nini? Ila kama unaongelea active kwenye media na midomoni mwa watu basi Hakuna huko CUF hata upinzani wapo wachache sana kama vile:
1. Mrema na Parole yake.
2. Lisu Tundu na kesi zake za uchocheaji.
 
Si kweli kama tangu kutemwa CCM na baadae kujiunga na CUF amekua akionekana kwa nadra sana. Aligombania uchaguzi wa Oktoba 2015 na kumgaragaza vibaya sana Mahmoud Thabit Kombo wa CCM na baadae Jechha kulazimishwa kufuta uchaguzi. Uliporejewa mpinzani wake amechaguliwa Waziri wa Afya.Sasa wewe ulitakaje?
nisawa lakini hata kuonekana kwenye jitihada za kudai haki irudi? tumewaona kina ismail jussa na wengine lakini yeye kimwa! au hawamuamini nini?
 
Huyu si ndie walisema sijui alikutwa na silaha za kivita kwake na risasi ? Halafu kaoa mtoto wa Karume ,inaweza kuwa ameambiwa na baba mkwe atulie bado kijana mdogo hataki mwanawe awe mjane
 
We huijui CUF.Ingekua CUF inakwenda kwa mtindo wa huo wa jumla jumla mpaka leo ingebaki historia kama ilivyo nccr au tlp.CUF huwa inakwenda kwa step.Kikosi mbele na kingine kinagurg.Ndio maana ccm walishindwa kubadili matokeo wakaamua kuyafuta.Unajua ni kwanini?Kwanini wasingetangaza tu kama walivyofanya huku bara.
 
habari wanabodi
Huyu bwana tangu kutemwa CCM na baadae kujiunga na CUF amekua akionekana kwa nadra sana. Alionekana sanasana wakati wa kampeni kabla ya uchaguzi 2015 lakini baada ya hapo hayupo active. Au CUF wanambania? naona sana walio active kwenye CUF ni akina Jussa, Mazrui na wengine ila yeye yupo kimwa au ndo ngombe asiye mkia?
Tujadili.
kimwa= kimya
ngombe=ng'ombe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom