Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
- Thread starter
-
- #81
Aisee angekuwa kama pacha wake.vuta picha ingekuwa vipi leo hii Mhe Membe angelikwa ndio Rais wa Tanzania,angesafiri mara ngapi kwenda nnje? wasanii wangapi wangeenda ikulu?
yuko chini ya uangalizi maalum kwa masilahi ya chamaNi muda mrefu sasa umepita sijamsikia jasusi mbobezi na mwanadiplomasia mahiri ndugu Benard Membe ambaye siku za awali za utawala wa JPM alijitahidi kutoa matamko mbalimbali kadri anavyojisikia. Kwenye sakata kama hili la sukari nimjuavyo angeshatoa tamko tena zito haswa.
Lakini sasa shushushu huyu hasikiki wala kuonekana kwenye media kama hapo awali, nini kimemsibu? Anayejua aje atujuze alipo mbunge huyu mstaafu wa pale Mtama.
Kwani hao wasanii ni raia wa nchi gani?vuta picha ingekuwa vipi leo hii Mhe Membe angelikwa ndio Rais wa Tanzania,angesafiri mara ngapi kwenda nnje? wasanii wangapi wangeenda ikulu?
Teh teh tehTeheeteeh, Membe alisema 2016 maadui zake watakimbia nchi, imekuwa kinyume yeye ndio kakimbia maadui zake. Siasa bana eti nae alikuwa aishi magogoni?! mtama tu ilimshinda nchi nzima ingekuwaje?
Jiwe hapumui huko kashindwa kumpuuzaMembe ni wa kupuuzwa
Kama ya mama yako na baba yako