Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
pengine labda...ngoja wajuvi waje watujuzeLabda naye kahamishiwa Mji Mwema
Unaonekana unamchukia, jiepushe na hiloNi muda mrefu sasa umepita sijamsikia jasusi mbobezi na mwanadiplomasia mahiri ndugu Benard Membe ambaye siku za awali za utawala wa JPM alijitahidi kutoa matamko mbalimbali kadri anavyojisikia. Kwenye sakata kama hili la sukari nimjuavyo angeshatoa tamko tena zito haswa.
Lakini sasa shushushu huyu hasikiki wala kuonekana kwenye media kama hapo awali, nini kimemsibu? Anayejua aje atujuze alipo mbunge huyu mstaafu wa pale Mtama.
akili yako fupi kama umeme wa lukuUnaonekana unamchukia, jiepushe na hilo
Kama ya mama yako na baba yakoakili yako fupi kama umeme wa luku
hahaha...eti maadui zake wangekimbia nchi? hao maadui zake ni akina nani? tujuze mkuuTeheeteeh, Membe alisema 2016 maadui zake watakimbia nchi, imekuwa kinyume yeye ndio kakimbia maadui zake. Siasa bana eti nae alikuwa aishi magogoni?! mtama tu ilimshinda nchi nzima ingekuwaje?
Kazi ipi hiyo mkuu?Anasubiri kupangiwa kazi nyibgineee
Si unajua ccm yetu bhanaaa
acha utani mkuu, kwahiyo kaamua awe mjasiriamali?Analima korosho kwao mtama.
Adui yake mkuu kwenye ile ligi ya kuingia magogoni alikuwa LOWASA, sasa badala ya Lowasa kukimbia nchi, Membe amekimbizwa na kivuli tu cha Lowasa maana Lowasa alisha muacha ndani akatoka nje ila kivuli kikafanya yake now membe ni historia.hahaha...eti maadui zake wangekimbia nchi? hao maadui zake ni akina nani? tujuze mkuu
wewe mwanamke una wivu sanaKama ya mama yako na baba yako
ahsante!!Adui yake mkuu kwenye ile ligi ya kuingia magogoni alikuwa LOWASA, sasa badala ya Lowasa kukimbia nchi, Membe amekimbizwa na kivuli tu cha Lowasa maana Lowasa alisha muacha ndani akatoka nje ila kivuli kikafanya yake now membe ni historia.