Yusufu Manji kwaheri!

naipenda simba mshabiki wa damuuuuuuuuii
Jana Simba ilinipa furaha ya Jumapili ila dakika za mwishoni alivoingia Maguli nilihisi goli linarudishwa,jamaa yule huwa simuamini katika uchezaji wake..hana control ya mpira napokuwa na adui,sijui ni mfumo tu au hawezi kabisa kucheza Simba nguvu bila plan is nothing
 
YANGA kwa SIMBA kama mkewe.....SIMBA akitaka kumuingilia YANGA.....hana pingamizi wakati wowote tu........
 
Vumilieni tu manake mnafukuza kila mkifungwa mnafukuza makocha. Tangu lini Mhindi akawa kiongozi wa timu ya wananchi!

Mmesahau historia ya Yanga na sasa mnakumbatia wenye fedha

Hata simba ingefungwa japo haiongozwi na mhindi hali ingekua hiyohiyo ya kuumia ukifungwa hasa na mtani wako wa jadi. Wanyanga tuwe watulivu yaliyo pita sindwele tu gange yajayo
 
Hata simba ingefungwa japo haiongozwi na mhindi hali ingekua hiyohiyo ya kuumia ukifungwa hasa na mtani wako wa jadi. Wanyanga tuwe watulivu yaliyo pita sindwele tu gange yajayo
Pole kamanda. Manji ameshindwa kabisa kuifunga simba.

Porojo za Jerry Muro nazo ziliwaponza pamoja na kicheko cha Mzee Akilimali
 
Naskia Jerry Muro anasema lile goli Okwi hakufunga yeye, eti kuna kitu kilinyanyua ule mpira na kuurusha golini...!!!!!!!! Kama ni kweli, hii inatisha kabisa
 
Naskia Jerry Muro anasema lile goli Okwi hakufunga yeye, eti kuna kitu kilinyanyua ule mpira na kuurusha golini...!!!!!!!! Kama ni kweli, hii inatisha kabisa

Ahaaaaa inabidi tuwalete watu CSI waje wafanye uchunguzi
 
Tuachie yanga yetu usije ukatuua kwa shinikizo la damu au sonona, timu haiitaji fedha, inahitaji spirit!

Tumekuvumilia sana tumekuchoka.

#Manjiout

Mlivyokuwa Mnabeba Juu Juu Huku Mkimsifia Kuwa Yeye Ndiyo Kila Kitu Yanga Leo Kiko Wapi? Ameshawanyonyeni Sana na Manji Ni Simba Damu.
 
Vumilieni tu manake mnafukuza kila mkifungwa mnafukuza makocha. Tangu lini Mhindi akawa kiongozi wa timu ya wananchi!

Mmesahau historia ya Yanga na sasa mnakumbatia wenye fedha

Hahahaha mkuu kuna kitu nimejifunza toka kwenye maneno yako hapo juu.
 
Hawana Tembo card master card. Na wataendelea kuwa watumwa for life. I huku Jangwan city wakiiona kwenye makaratasi
 
Tuachie yanga yetu usije ukatuua kwa shinikizo la damu au sonona, timu haiitaji fedha, inahitaji spirit!

Tumekuvumilia sana tumekuchoka.

#Manjiout

Hahahaha ridhika na ulichonacho, si mlipenda mambo rahisi rahisi
 
Attachments

  • 1426048783027.jpg
    33.3 KB · Views: 116
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…