Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
Mtoto wake karithi kupayuka hovyo.Msambaa ameshauriwa kukaa kimya. maana kila aiongea ni non sence. Busara iliyobaki kwake ni kuwasimulia hadithi wajukuu zake tu.
Anafanya mazoezi ya kukaa benchi. Amejitahidi kweli!
Au yale yalitabiriwa ya kuvuliwa ukatibu mkuu wa genge yalishatimia kimyakimya?
maana sasa kila mtu ni msemaji wa chama: mara sophia simba, mara pinda, mara chiligata, mara kilango, mara wasira, mara jumuia ya wazazi, mara sijui nini, bado shehe yahaya tu.
wengine wanaamrisha hata vyombo vya dola viishughulikie chadema, lakini Msambaa kakaa kimyaaaaaaaaa.
ndo maana nauliza why?
Msambaa ameshauriwa kukaa kimya. maana kila aiongea ni non sence. Busara iliyobaki kwake ni kuwasimulia hadithi wajukuu zake tu.
Au yale yalitabiriwa ya kuvuliwa ukatibu mkuu wa genge yalishatimia kimyakimya?
maana sasa kila mtu ni msemaji wa chama: mara sophia simba, mara pinda, mara chiligata, mara kilango, mara wasira, mara jumuia ya wazazi, mara sijui nini, bado shehe yahaya tu.
wengine wanaamrisha hata vyombo vya dola viishughulikie chadema, lakini Msambaa kakaa kimyaaaaaaaaa.
ndo maana nauliza why?
kama kapigwa benchi bora aendeleze shule yake sasa; maana naskia inaogoza kwa kutoa zero kwa shule za Dar ikifuatiwa na SK secondary school