Mulugo namkumbuka, hako kamama kenye mdomo ni kapi mkuu tafadhali
In God we Trust
Enzi ya Jakaya ilikuwa na vituko vyake..Mulugo waziri wa Elimu asiyejua Jiografia.
Wana jamvi nimejaribu kufuatilia wanasiasa wetu walio tamba sana kwenye awamu ya bwana Kikwete na kati yao ni meona tuwajadili hawa miamba.
Wasira alijitapa kuiangamiza cdm kabla ya mwaka 2014 tena kwa kiapo lkn leo hii cdm bado ipo na yeye mzee Tyson hasikiki tena. Pia mzee Muhongo bingwa wa dunia wa miamba aliye kuwa anajivunia kwa kiburi sana juu ya elimu yake hiyo lkn sasa kimyaaaaa. View attachment 1369187View attachment 1369188
In God we Trust
Wapo wengi kaka
1. Mwantumu Mahiza
2. Mulongo
3. Dr Naomi Katunzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani bundle la bulaya ndivyo unavyolipoteza namna hii kwa mambo yssiyo na tija!Wana jamvi nimejaribu kufuatilia wanasiasa wetu walio tamba sana kwenye awamu ya bwana Kikwete na kati yao ni meona tuwajadili hawa miamba.
Wasira alijitapa kuiangamiza cdm kabla ya mwaka 2014 tena kwa kiapo lkn leo hii cdm bado ipo na yeye mzee Tyson hasikiki tena. Pia mzee Muhongo bingwa wa dunia wa miamba aliye kuwa anajivunia kwa kiburi sana juu ya elimu yake hiyo lkn sasa kimyaaaaa. View attachment 1369187View attachment 1369188
In God we Trust
Huyu Afya yake haiko sawa,inavyosemekana yupo nje ya nchi kwa matibabu kwa muda sasa.Nimrod Mkono je?
Ni wakati wa steve nyerere, polepole na MAkondaWana jamvi nimejaribu kufuatilia wanasiasa wetu walio tamba sana kwenye awamu ya bwana Kikwete na kati yao ni meona tuwajadili hawa miamba.
Wasira alijitapa kuiangamiza cdm kabla ya mwaka 2014 tena kwa kiapo lkn leo hii cdm bado ipo na yeye mzee Tyson hasikiki tena. Pia mzee Muhongo bingwa wa dunia wa miamba aliye kuwa anajivunia kwa kiburi sana juu ya elimu yake hiyo lkn sasa kimyaaaaa. View attachment 1369187View attachment 1369188
In God we Trust
Asante kwa mrejeshoHuyu Afya yake haiko sawa,inavyosemekana yupo nje ya nchi kwa matibabu kwa muda sasa.
Wakati wa Mwalimu, Wasirra yupo. Kaingia Mwinyi , Wassira yupo. Kaja Mkapa, Wassira yupo. Hata wakati wa Kikwete, Wassira yupo. Pia wakati wa kugombea kuteuliwa mgombea wa Uraisi kwa tiketi ya CCM mwaka 2015, Wassira alikuwepo. Jamani mwacheni Mzee wa watu apumzike kwa amani sasa.Mzee Wassira ni wa afya njema na anafanya utaratibu wa kurudi mjengoni ifikapo Oktoba, 2020.
Ahaaa... Kila mtu akisema CDM ni mufu yupo lumumba!