Yupo wapi Prof. Issa Shivji?

Yupo wapi Prof. Issa Shivji?

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2013
Posts
2,602
Reaction score
408
Yupo wapi prof Shivji? Prof aliyediriki kukana maandishi yake ili kuwafurahisha maharamia. Anaandaa singo nyingine au kitabu cha kura ya maoni? Kimya sana huyu prof,kulikoni? Tusemezane
 
Yupo wapi prof Shivji? Prof aliyediriki kukana maandishi yake ili kuwafurahisha maharamia. Anaandaa singo nyingine au kitabu cha kura ya maoni? Kimya sana huyu prof,kulikoni? Tusemezane

Ukiona yupo kimya hivyo ujue amegundua kuwa na yeye ni profesor wa KICHINA
 
Kama yule prof wa msoga ambaye hajui kwa nini Tanzania ni maskini. Uprof wake uishie China na msoga,huku kwetu ni kikwete
Ukiona yupo kimya hivyo ujue amegundua kuwa na yeye ni profesor wa KICHINA
 
Yupo wapi prof Shivji? Prof aliyediriki kukana maandishi yake ili kuwafurahisha maharamia. Anaandaa singo nyingine au kitabu cha kura ya maoni? Kimya sana huyu prof,kulikoni? Tusemezane

Kondomu ikishatumika......................... dust bin ni sehemu yake sahihi!
 
Muhindi koko huyo amejidhalilisha uzeeni
 
Msomi njaa wa kihindi nimemdharau sana kwa umbumbumbu wake mbele ya magamba.

Baba yako ana elimu gani na mchango wake kwenye nchi hii ni upi kumzidi shivji?..tafadhali kuwa mkweli kuelezea elimu ya baba yako na mchango wake kwa nchi
 
Tofauti ya Profesa Maji Marefu na Profesa Shivji iko wapi?
 
Kuna member alishaeleza hapa kuwa aliambiwa aufyate au aende India kwa miguu kupitia bahari ya Hindi.
 
Hii post yako ungeipeleka Jukwaa la Siasa ungepata majibu mazuri sana.
 
Kishalamba pesa ya wajinga ccm kutetea katiba ya nape hana haja nao tena
 
Back
Top Bottom