Yupo wapi naibu waziri wa elimu Stella Manyanya? ,

Victor wa happy

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
11,660
11,647
Huyu mama mfia chama wa ccm, ambaye katika bunge lililopita alikuwa hataki kikwete asemwe Vibaya
Alianza kwa kasi ila baadae walishindwana na boss wake

Baaada ya kurundikwa wizara Moja ya elimu waziri manyanya na waziri ndalichako si watu wanaofanana kimtazamo na kiutendaji na boss wake ndalichako

Ndalichako anitii Mamlaka iliyomuweka madarakani huku manyanya akitii Mamlaka iliyotangulia
Ndalichako hapatani na dola iliyopita, kuna mikakat mingi nyuma ya kapeti kuhujumiana baina ya hawa wa mama

Sijui nani atakuwa wa kwanza kutumbuliwa na baba jesca

Ukizingatia ndalichako hana base kubwa kisiasa tofaut na mwenzake ambaye anapewa sapot na magwiji wa siasa

Nan atakuwa wa kwanza kuondoka ofisin?

Vita vya panzi.............
 
Prof Ndalichako ni mkono wa chuma aliejitengea bil 8 ukarabati wa ofisi tu!!
 
Jamani mada inataka kujua alipo Mh Manyanya. Mh Manyanya alifiwa na mama yake mzazi siku kati ya mbili au tatu kabla ya kusomwa kwa bajeti yao. Bila shaka bado anaweka mambo vizuri. Mungu amlaze mahali pema mama yetu huyu aliyetangulia mbele ya haki. Mbele yeye nyuma sisi. Amen.
 
Back
Top Bottom