Yupo wapi mwanamama Advera Senso/Bulimba?


Umeeleweka mkuu kwani Uraiani CV yake iko super huko ughaibuni ana CV hewa!
 
Write your reply...huyu mama bwana niliwahi kukaa nae maeneo ya Tabata Muslimu, ila kwa sasa nahisi atakuwa mkoa wa Mwanza
 
Nachenguka sana na wanawake wa design hizo yaani wenye ndevu!!
 
Alipelekwa kuwa Afisa mnadhimu wa Polisi Mwanza yaani kama msogeza mafaili kwa RPC au mshauri hivi
 

"Nilimpenda sana yule mama hasa alivokuwa akicheza na microphones"
 
Kuna yule alie kuwa rpc wa morogoro adolfina chialo, sijui nae alifanya nini kipindi cha kikwete mpaka leo hajulikani aliko zaidi ya kuambiwa amehamishiwa makao makuu, kisa alimlaza rumande mwenyekiti wa ccm mkoa toka ijumaa mpka jumatatu.
 

Amepata shavu la U-DC Nzega Hii leo July 9, 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…