Yupo wapi mtangazaji wa ITV, Sam Mahela?

Yupo wapi mtangazaji wa ITV, Sam Mahela?

Carpensis

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
563
Reaction score
340
Ni muda mrefu sasa umepita mtangazaji mahiri ITV hajaonekana hewani.

Naomba kufahamishwa yupo wapi kipindi chake cha Dk 45 ITV Jumatatu hakiwi kama ilivyo ada.
 
Kawaulize wale wanao implement order kutoka juu
 
Yupo humu jf ngoja atakuja kukujibu,

sitashangaa ndiyo wewe mwanzisha thread
 
Waandishi wengi wa ipp media wanahama vituo labda kwasababu ya maslahi, yule dogo aliyeenda azam tv hata abisai Stephen wote nawaona azam
 
Back
Top Bottom