Black Lady
Member
- Nov 16, 2013
- 65
- 8
Nauliza tu.
Joseph Msami, yupo wapi huyu mtangazaji siku hizi.
Joseph Msami, yupo wapi huyu mtangazaji siku hizi.
Wakait ule wa Tido pale tbc,Msami,Pendaeli Omari katika michezo,walikuwa bora,sijui wapo wapi?.
Kama vile kweli.Yupo kwangu namlea!
Joseph Msami alikuwa anatngaza wapi!!!!!
alikua tbc 1 na wapo redio HOE