Vipi upo katika list tarehe 22 ? Je mshalipwa hela zenu ? au Wasafi wamekuwahi.Mwanzisha maada ni mme wa mtu na ana watoto wawili
Diamond unamwona alafu Moze humuoni si unafiki,wakati alipo na aendapo Mondi Iyobo yupo .yaani sawa sawa uione Twanga alafu usimwone Nyamwela.
Nithibitishe nini wakati hata kwenye acc ya Diamond inaonekana au unataka ligi za kipuuzi manake mnabisha vitu vinavyooneka.Thibitisha
Nashangaa..hajasikia na kile kipande kinasema 'oya wanangu wa Kigogo, nipe za Mose Iyobo, vunjavunja kidogo, uongeze mikogo'Diamond unamwona alafu Moze humuoni si unafiki,wakati alipo na aendapo Mondi Iyobo yupo .yaani sawa sawa uione Twanga alafu usimwone Nyamwela.
Au luiza mbutuDiamond unamwona alafu Moze humuoni si unafiki,wakati alipo na aendapo Mondi Iyobo yupo .yaani sawa sawa uione Twanga alafu usimwone Nyamwela.
Hamna yupo kajaa tele, alipo mondi nae yupoLabda ni majukumu yanawaweka mbali
Ila iyobo kuachana na mondi si rahisi.. Mondi anampenda mno huyo kijana wametoka mbali sana..
Anti anafaidi naeHamna yupo kajaa tele, alipo mondi nae yupo
Anafaidi nini kwa kitoto naweAnti anafaidi nae
[emoji23][emoji23]Anafaidi nini kwa kitoto nawe
Ana pa kwenda sasa?[emoji23][emoji23]
Nahisi kiko vizuri ndo mana kakiganda