Liverpool2005
Member
- Jul 20, 2011
- 43
- 39
Kati ya wabunge niliowakubali katika binge lililopita na bado namkubali ni huyu mbunge wa NCCR Mh. Mkosamali. Ni muda mrefu tangu bunge limeisha sijamsikia au kumuona kwenye harakati za uchaguzi..naomba nijuzwe yupo wapi, anagombea tena ubunge? Ni mmoja ya watu wanaotakiwa kurudi kwenye binge lijalo