William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,657
- 2,252
Yule aliyeshitakiwa pamoja na Rwakatare. Naona habari nyingi za kesi zinamruka na watu kutufaamisha kuhusu Rwakatare pekee. Je kapata dhamana? Nani aliyemdhamini? Atakae mwona naomba aniulizie maswali yafuatayo. 1.Anazungumzia vipi mashtaka aliyoshitakiwa nayo. 2. Aliingiaje urafiki na Mwigulu 3. Je anahusika na kutengeneza clips 4.anatuambia nini raia juu ya yaliyomkuta pole sana ludo Je