Yupo wapi Ludovik. Atakaemwona aniulizie maswali haya

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
Yule aliyeshitakiwa pamoja na Rwakatare. Naona habari nyingi za kesi zinamruka na watu kutufaamisha kuhusu Rwakatare pekee. Je kapata dhamana? Nani aliyemdhamini? Atakae mwona naomba aniulizie maswali yafuatayo. 1.Anazungumzia vipi mashtaka aliyoshitakiwa nayo. 2. Aliingiaje urafiki na Mwigulu 3. Je anahusika na kutengeneza clips 4.anatuambia nini raia juu ya yaliyomkuta pole sana ludo Je
 
Hakutimiza mashariti bado yuko ndani, sipati picha huyu jamaa alikuwa anaishi vp na Lwakatare mahabusu ukizingatia Mwigulu kwenye ile video ya Arusha amekiri yy ndio alimpatia vifaa Ludovick akamrekodi Lwakatare.
Hlf ananiudhi alivyokuwa anaonyesha vidole viwili mahakamani.
 
Ludovick amenisikitisha sana, kumuuza mtu aliyekuwa kama baba kwake kwa vipande vya fedha!! Natamani asiwe yeye maana hiyo dhambi itamsumbua mpaka uzeeni, tumsamehe tu
 
​Na awe fundisho kwa wale wote wanaosaliti mapambano ya ukombozi wa nchi yetu vya vipande kiduchu vya shekeli (fedha). Usaliti ni biashara isiyolipa.
 
waliomtuma nadhani watamuwekea dhamana muda si mrefu kwani kazi aliyotumwa ameimaliza
 
Hakutimiza mashariti bado yuko ndani, sipati picha huyu jamaa alikuwa anaishi vp na Lwakatare mahabusu ukizingatia Mwigulu kwenye ile video ya Arusha amekiri yy ndio alimpatia vifaa Ludovick akamrekodi Lwakatare.
Hlf ananiudhi alivyokuwa anaonyesha vidole viwili mahakamani.
Jizatiti maana mlianzisha wenzenu wanamaliza
 
Katika maisha yetu.tuogope sana kutumiwa na watu kwa manufaa yao Mwigulu Nchemba amemtumia huyu dogo na amemharibia uaminifu kwa jamii nzima ya Tanzania,ila kama kabla ya kwenda CDM alikuwa CCM atakuwa amefanya kazi aliyotumwa ila kama alikuwa CDM damu then akakubali kutumika basi hawezi kuaminika tena maaana hata huko CCM anaweza kununuliwa vile vile!
 
Last edited by a moderator:
mwisho wa ubaya ni .....(wanasema) aibu!
Naamini hii itakuwa zaidi ya aibu
 
Back
Top Bottom