Jamani ni muda mrefu sijamsikia kiongozi wa kampeni za Mh.Mwenyekiti wa CCM wakati wa uchaguzi mkuu 2015 Bw. Bulembo.Sio kawaida Kwa bwana Bulembo kuwa kimya kiasi hiki kama vile hayupo.Hivi yuko wapi huyu bwana au kasi ya Mh.Magufuli imemshinda?

Bulembo haisomi namba, mambo yake ni supa kweli kweli, ile kampuni yake ya Ubapa tayari imeweka kambi hapa mjini inajipanga kuchukua matenda makubwa makubwa!